- 1,098 viewsDuration: 4:00Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea kwa sasa nchini Malawi baada ya kufungwa kwa vituo vya kupigia kura. Wananchi wa taifa hilo wamepiga kura kuwachagua viongozi wao, ikiwemo rais, wabunge na madiwani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw