Uchaguzi mkuu: Wananchi wa Kenya wanapiga kura Jumanne

  • | VOA Swahili
    1,035 views
    Wananchi wa Kenya kutumia haki yao ya kikatiba katika uchaguzi mkuu wa urais 2022 utakaofanyika Jumanne. - Jumuiya ya Kimataifa yafuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Kenya. - Maafisa wa uchaguzi waeleza wako tayari kwa zoezi la uchaguzi litakalo fanyika kwa haki, usawa na amani... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.