- 463 viewsDuration: 6:50Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka inaendelea kusambaza vifaa vya kupigia kura katika vituo mbalimbali kuliko na uchaguzi mdogo. wabunge sita , seneta mmoja na wawakilishi wadi 17 watachaguliwa kesho. maripota wetu wako katika maeneo yatakayokuwa na uchaguzi mdogo wakifuatilia matukio hayo.