Uchaguzi wa UDA Nairobi umeng'oa nanga leo

  • | Citizen TV
    809 views

    Wapiga kura na wagombea wa UDA wanaoshiriki uchaguzi wa mashina katika kaunti ya Nairobi wanalalamika kutokana na hitilafu za mfumo wa upigaji kura na kukataliwa kwa vitambulisho vyao ili kupiga kura, wakitaja kuwa hawako katika mfumo wa wapiga kura.