Uchunguzi kuhusu ulanguzi wa viungo vya mwili Pokot Magharibi waendelea

  • | KBC Video
    78 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen ametoa onyo kwa watu wanaoshukiwa kuhusika katika biashara ya silaha haramu katika kaunti za Pokot Magharibi na Turkana. Murkomen alisema silaha hizo ndizo chanzo kuu cha visa vya ujangili na wizi wa mifugo katika eneo la North Rift. Kwingineko, washukiwa 16 wanazuiliwa ,huku uchunguzi ukiendelea kuhusiana na madai ya kumteka nyara na kumuua mtoto mmoja, wakinuia kuchukua viungo vyake. Giverson Maina anatuarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive