Uchunguzi wa Albert Ojwang' HomaBay

  • | Citizen TV
    2,203 views

    Maafisa watatu kutoka kituo cha polisi cha Mawego, Kaunti ya Homabay wameandikisha taarifa kuhusu kifo cha Albert Ojwang. Maafisa hawa wakihojiwa kuhusu kilichojiri pindi Ojwang alipofikishwa kwenye kituo hicho kabla ya kusafirishwa Nairobi.