Uchunguzi wa wadhalilishaji wa wanawake mitandaoni

  • | BBC Swahili
    421 views
    BBC Eye imechunguza tovuti zinazouza maelfu ya video za wanawake wakinyanyaswa kingono na wanaume kwenye treni, mabasi na maeneo mengine ya umma yenye watu wengi kote Asia Mashariki. Tovuti hizi zinaendeshwa na mtu anayejulikana kama "Uncle Qi". #bbcswahili #bbceye #unyanyasajiwakingono