Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wabaini Catherine Mwende alifariki kutokana na majeraha ya kuanguka

  • | Citizen TV
    1,976 views
    Duration: 1:37
    Uchunguzi wa mwili wa Catherine Mwende Njeri umebaini kuwa alifariki kutokana na majeraha mengi mwilini yaliyosababishwa na kuanguka kutoka kwa gari na kuumia kichwa, kifua, na viungo vyake vya mwili....