Skip to main content
Skip to main content

Ufadhili wa elimu Taita Taveta

  • | Citizen TV
    153 views
    Duration: 1:19
    Ni afueni kwa wanafunzi elfu saba eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta baada ya kupokea jumla ya shilingi milioni 55 ya basari ili kupiga jeki masomo yao.