Ufadhili wa masomo Kericho

  • | Citizen TV
    119 views

    Wanafunzi zaidi ya 2,500 kutoka shule 43 za upili za kutwa katika eneo bunge la Kipkelion Mashariki wamenufaika tena na msaada wa elimu ya bure, kwa hisani ya Mbunge wa eneo hilo, Joseph Cherorot