Uhaba wa chakula | Mvua ya masika yatarajiwa kupungua

  • | KBC Video
    31 views

    Taifa hili litapokea kiwango cha chini cha mvua kuliko kawaida katika maeneo mengi wakati wa misimu ya mvua ijayo ya miezi ya March,April na May.Kituo cha utabiri wa hali ya anga cha IGAD,pia kilisema hali hiyo itakuwa sawa katika mataifa yote yalioko eneo la upembe wa afrika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mvua #News #haliyahewa