Uhaba wa chakula | Nchi za IGAD zatafakari jinsi ya kudhibiti baa la njaa

  • | KBC Video
    23 views

    Kukosa kutekeleza mikakati ya kuzuia uhaba wa chakula kumetajwa kuwa kizingiti kikubwa katika utoshelezaji wa chakula katika kanda ya Afrika Mashariki. Hali hiyo imewafanya raia wengi wa mataifa wanachama kukosa chakula na kukumbwa na athari za kiangazi. Ni kutokana na hali hii ambapo mataifa wanachama wa shirika la IGAD wameandaa mkutano wa dharura jijini Nairobi kujadili mbinu za kukomesha uhaba wa chakula miongoni mwa jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #IGAD #News #njaa