Uhaba wa maji wamekithiri mjini Homa Bay

  • | Citizen TV
    190 views

    Uhaba wa maji unaendelea kushuhudiwa katika mji wa Homa Bay baada ya shirika la kusambaza maji mjini humo HOMAWASCO kubomoa mabomba ya maji ambayo hayakuwa yameidhinishwa. wizi wa maji katika kaunti hiyo unadaiwa kusababisha uhaba mkubwa wa maji huku wafanyibiashara wakivuna kutokana na biashara hiyo haramu.