14 Sep 2026 10:29 am | Citizen TV 417 views Duration: 2:06 Mamia ya wakazi wa Magadi, Kajiado Magharibi, wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji kwani ukame umekauusha vyanzo vya maji .