Skip to main content
Skip to main content

Uhaba wa wauguzi nchini

  • | Citizen TV
    205 views
    Duration: 1:36
    Upungufu mkubwa wa wauguzi katika hospitali za umma nchini Kenya unawaacha watoto wachanga bila huduma muhimu, na hivyo kuongeza hatari ya ongezeko la vifo vya watoto wachanga vinavyoweza kuepukika. utafiti uliotelewa na shirika la KEMRI unaonyesha kwamba hospitali mingi zinalazimika kuwa na muuguzi mmoja pekee kwa kila watoto 19 kinyume na pendekezo la muuguzi 1 kwa watoto 3