Uhifadhi Mazingira I Mpango wa Mama Taifa wazinduliwa

  • | KBC Video
    35 views

    Afisi ya mama wa taifa Bi Rachael Ruto imejitolea kuhakikisha upanzi wa miche ya miti milioni 500 kufikia mwaka wa 2032. Hatua hii inaambatana na mpango wa serikali wa kupanda miti bilioni 15 kufikia mwaka huo wa 2032. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkatati wa marejesho ya mazingira na mfumo wa ikolojia wa Mama wa taifa, Bi Rachel Ruto alitoa wito wa ushirikiano ili kuafikia azimio la uwepo wa utandu wa misitu wa asilimia 30.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive