Skip to main content
Skip to main content

Uhispania ama Argentina, bingwa kombe la dunia 2026

  • | BBC Swahili
    6,653 views
    Duration: 1:28
    Baada ya michezo 103 hatimaye fainali ya kombe la dunia itapungwa leo kati ya Uhispania na Argentina mashabiki mbalimbali wa soka jijini Dar es salaam wametoa utabiri wao kuelekea kwenye fainali hiyo Je nani kuibuka bingwa leo? - - #bbcswahili #kandanda #foryouシ #foryoupage #soka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw