Skip to main content
Skip to main content

Uhuru Kenyata ndiye mgeni wa chuo kikuu cha Kabarak

  • | NTV Video
    2,923 views
    Duration: 1:17
    Rais mstaafu Uhuru Kenyata amekuwa mgeni wa chuo kikuu cha Kabarak. Kenyatta ambaye hivi karibuni alijitosa kwenye siasa hasa kupitia chama chake cha Jubilee, ameonekana kukosa kuzungumzia siasa na kuwashawishi vijana kuendelea kuchukua nafasi yao ya uongozi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya