Skip to main content
Skip to main content

Uhuru wa bunge na mahakama

  • | Citizen TV
    869 views
    Duration: 1:18
    Bunge la kitaifa na mahakama wameazimia kushirikiana ili kutatua baadhi ya changamoto zinazokabili asasi hizo. Kwenye kongamano la viongozi wa bunge jijini Mombasa, Jaji Mkuu Martha Koome ametaka bunge kuunda miswada inayolenga kutatua migogoro bila ya kuhitilafiana na uhuru wa mahakama na bunge