Kundi la mashirika ya kijamii limesema kuwa demokrasia inazidi kudidimia katika eneo la Afrika Mashariki. Katika ripoti mpya kuhusu hali ya uhuru wa kiraia nchini Kenya, Uganda na Tanzania, iliyozinduliwa leo jijini Nairobi mashirika haya yamedai kuwa nchi hizi zinaendelea kukandamiza raia kupitia sera mpya na matumizi mabaya ya sheria. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, kiongozi wa chama cha People's Liberation, Martha Karua, aliilaumu serikali za eneo hili kwa ukandamizaji na kupunguza uhuru wa kimsingi wa wananchi kuwa jambo la kawaida.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive