Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara Ruiru kurahisisha usafiri

  • | KBC Video
    170 views
    Duration: 1:33
    Wakazi wa eneo la Ruiru, kaunti ya Kiambu wamepata afueni kufuatia uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara itakayounganisha wadi tano za eneo hilo. Barabara hiyo ya kilomita 15 inayojengwa kupitia halmashauri ya barabara za mijini inatarajiwa kurahisisha shughuli za usafiri na kukomesha kero la muda mrefu la vumbi na mafuriko. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News