- 3,222 viewsDuration: 5:48Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wa hii leo ataongoza viongozi wengine wa serikali ya Kenya Kwanza akiwemo mbunge wa Kibwezi magharibi Mwengi Mutuse kuzindua ujenzi wa barabara ya Emali-Ukia. Barabara hii ni muhimu kwa usafiri kwani inaunganisha kaunti ya Kajiado, Makueni na Kitui.