Skip to main content
Skip to main content

Ujenzi wa barabara ya Kenol-Marua waleta manufaa mengi kwa wafanyabiashara

  • | Citizen TV
    310 views
    Duration: 3:43
    Huku jenzi wa Barabara kuu ya kutoka Kenol Kuelekea Marua unapoelekea kukamilika, wakazi wa kaunti za Murang’a, Kirinyaga na Nyeri inakopita Barabara hii, Wamejibidiisha kufungua biashara mpya na kuzipanua walizo nazo.