5 Sep 2025 2:53 pm | Citizen TV 462 views Duration: 1:20 Wakazi wa eneo la Olkeri huko Kajiado kaskasini wanatishia kuaandaa mandamano na kufanga barabara iwapo serikali haitamshurutisha mwanakandarasi kukamilisha ujenzi wa barabara eneo hilo.