- 427 viewsDuration: 3:12Wakazi wa Loosuk na bonde la Malaso samburu magharibi, wana kila sababu ya kutabasamu baada ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo la huduma za afya ya uzazi. Wakazi wa eneo hilo husafiri mwendo mrefu hadi mjini Maralal katika hospitali ya rufaa ya samburu kutafuta huduma hizo, lakini sasa wana matumaini kuwa mwendo huo utafupishwa..