- 64,005 viewsDuration: 2:21Licha ya kujieleza kama jumuiya ya maadili, urafiki na huduma kwa jamii, Freemasons wameendelea kuibua mijadala kutokana na baadhi ya taratibu zao kufanyika kwa faragha, jambo linalochochea udadisi kuhusu shughuli zao za ndani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw