5 Mar 2026 1:55 pm | Citizen TV 200 views Duration: 1:04 Gavana wa kaunti ya Kwale, Fatuma Achani, ameongoza hafla ya ujenzi wa uwanja wa michezo katika eneo la Eshu, wadi ya ramisi, gatuzi dogo la Msambweni.