5 Feb 2026 1:44 pm | Citizen TV 379 views Baada ya kukwama ujenzi wa uwanja wa kaunti ya Mombasa kwa zaidi ya miaka kumi, serikali ya taifa sasa imechukua hatamu ya kuujenga uwanja huo utakaokuwa na hadhi ya kimataifa.