Ujenzi wa uwanja wa Talanta City kukamilikamwishoni mwa mwaka ujao

  • | Citizen TV
    1,761 views

    Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa talanta city umeanza rasmi mjini nairobi baada ya kuzinduliwa na rais william ruto wiki mbili zilizopita. Uwanja huo unatarajiwa kuandaa mechi za timu ya taifa harambee stars stars wakati wa mchuano wa kombe la mataifa bora barani Africa, AFCON, mwaka wa 2027.