- 133 viewsDuration: 1:40Wenye vibanda na wahudumu wa matatu mjini Nanyuki wameridhishwa na mradi uliong’oa nanga hivi majuzi wa ujenzi wa vibanda vya kisasa kwenye kituo kikuu cha mabasi mjini humo. Mradi huo utakaogharimu shilingi milioni-60 umesubiriwa kwa zaidi ya miaka 17. Mradi huo uliofadhiliwa na Benki ya Dunia ulizinduliwa chini ya lililokuwa baraza la manispaa ya mji huo mwaka 2009 kabla ya kukwama. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News