Ujenzi wa zaidi ya nyumba 600 yakamilika Nakuru

  • | Citizen TV
    294 views

    Katika kaunti ya Nakuru hii Leo wakazi wanajumuika ili kutoa maoni kuhusu Sheria ya umiliki wa nyumba za Bei nafuu. Katika kaunti hiyo nyumba 605 zimekamilika chini ya mradi huu, huku ujenzi wa zingine mia nne ukiendelea katika maeneo Bunge ya Bahati na Molo.