Ujuzi wa kipekee wa sanaa unaotumia mionzi ya joto kuchora

  • | K24 Video
    18 views

    Pirografi ni ujuzi wa kipekee wa sanaa unaotumia mionzi ya joto kuchora. Uchoraji huo hufanyika zaidi kwenye mbao. Msanii Christopher Mwenda wa sanaa hiyo katika kaunti ya Meru.