- 153 viewsDuration: 1:29Huku ikiwa imesalia siku moja tu kwa Waislamu kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, hali ya ukame inaendelea kuwa mbaya katika maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa nchi, ambapo wakazi wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na maji, huku mifugo wengi wakiripotiwa kufa kutokana na ukosefu wa malisho na maji.