2,879 views
Duration: 2:21
Shughuli ya kupanua njia ya reli ya kisasa inaendelea kufuatia kukarabatiwa kwa njia ya reli inayounganisha Mombasa na Miritini, na kujengwa kwa kituo cha kisasa cha reli cha Mombasa. Takriban watu alfu nne wanatarajiwa kusafiri kwa kutumia reli hiyo mpya, wakati itakapozinduliwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive