Skip to main content
Skip to main content

Ukarabati wa viwanja Elgeyo Marakwet

  • | Citizen TV
    278 views
    Duration: 1:22
    Kama njia moja ya kuinua sekta ya michezo na kukuza talanta miongoni mwa wakazi wa Marakwet Magharibi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, serikali kupitia wizara ya michezo nchini imeanzisha mchakato wa ujenzi wa uwanja wa Kibigos katika wadi ya Lelan