Skip to main content
Skip to main content

Ukatili wa penzi ulipelekea mwanamke kuchomwa na asidi katika barabara ya Ngong

  • | Citizen TV
    25,021 views
    Duration: 3:35
    Maafisa wa upelelezi kutoka kituo cha polisi cha Kibra wanachunguza kisa ambapo msichana wa miaka 24 alimwagiwa kemikali iliyomteketeza kwenye kisa kinachoshukiwa kuwa mzozo na aliyekuwa mpenziwe. Mary Claire alikuwa anatoka kazini katika barabara ya Ngong akiwa na rafikiye ambaye pia alijeruhiwa kwenye tukio hilo