Ukilima waimarisha maisha ya wengi kaunti ya Baringo

  • | NTV Video
    112 views

    Kaunti Ya Baringo Kusini Imekuwa ngome ya ujambazi na wizi wa mifugo kwa miaka mingi. Mamia wamepoteza maisha na riziki zao kutokana na ghasia hizo. Lakini sasa kuna jambo jipya la kujivunia katika maeneo hayo huku wakazi wakikumbatia ukulima.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya