UKIMWI, dhuluma za kijinsia na ongezeko la mimba za utotoni eneo la Magharibi

  • | West TV
    64 views
    Waziri wa afya Susan Nakhumicha ametoa wito kwa wakazi eneo la magharibi kushirikiana kwenye jitihada za kumaliza kero la mimba za utotoni, dhulma za kijinsia na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi