Ukosefu wa sodo wawachochea wasichana kuomba pesa

  • | Citizen TV
    75 views

    Changamoto ya ukosefu wa Sodo miongoni mwa wasichana wengi wenye umri mdogo katika kaunti ya Lamu imetajwa kuchangia mimba za mapema.