Ukraine - Urusi: BBC yajikuta katika njia panda na wanajeshi wa Ukraine

  • | BBC Swahili
    8,632 views
    Mapigano katika mji wa Lyman mashariki mwa Ukraine yanahusisha mapigano ya karibu. Hivi majuzi Ukraine imetwaa tena zaidi ya kilomita za mraba 400 za eneo kwa chini ya wiki moja. Mwandishi wa BBC Jonathan Beale na mpigapicha Lee Durrant wamekabiliwa na shutuma kutoka kwa vikosi vya Urusi walipokuwa wakipiga picha za wanajeshi wa Ukraine. #bbcswahili #ukraine#urusi