Ukraine yaisihi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuchunguza uhalifu wa kivita wa Russia

  • | VOA Swahili
    1,039 views
    Kanda ya video imeonekana kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha majeshi ya Russia yakimuua mfungwa wa vita ambaye alikuwa hana silaha. Mfungwa huyo alikuwa amevaa sare ya jeshi la Ukraine, akisema kimya kimya utukufu kwa Ukraine. Mamlaka za Ukraine zinaisihi mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, kufanya uchunguzi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea kile ambacho tayari kinajulikana kuhusu uhalifu huo wa vita uliofanya na Russia. #kanda #video #mitandaoyakijamii #majeshi #russia #mfungwawavita #ukraine #mfungwawavita #mahakama #ICC #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.