- 3,359 viewsUkraine yashinikiza kuwepo uchuguzi wa uhalifu wa vita ufanyike baada ya kanda za video kuibuka kwenye mitandao ya jamii ikionyesha wanajeshi wa Russia wakimua mfungwa wa vita raia wa Ukraine. Rais wa Marekani Joe Biden anafanya ziara ya siku mbili nchini Canada. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
Ukraine yataka kuwepo uchunguzi wa uhalifu wa vita dhidi ya Russia
- 29 Mar 2024 - It comes with the Sun near the peak of its 11-year solar cycle, setting the stage for a breathtaking display: The corona will glow spectacularly from the Moon's silhouette along the path of totality, a corridor stretching from Mexico to Canada via the…
- 29 Mar 2024 - Deputy security minister Lyonel Calderon said the toll was provisional pending a "complete review of the entire penitentiary center," located in a city which has become a dangerous hub for the export of cocaine from neighboring countries.
- 29 Mar 2024 - The diocese of Carpi in northern Italy offered its full support for artist Andrea Saltini after what it condemned as an "unprecedented act of violence" ahead of the Christian holiday of Easter.
- 29 Mar 2024 - Farmers across the country will continue to access subsidized farm inputs like fertilizer and seeds during the Easter Holiday
- 29 Mar 2024 - A 48-year land row in Kiplombe and Kamagut areas of Uasin Gishu, pitting KDF and residents is coming to an end after the parties agreed on a land-sharing formula.
- 29 Mar 2024 - The war erupted after Hamas militants attacked Israel from Gaza on October 7, resulting in about 1,160 deaths -- mostly civilians -- according to an AFP tally based on official Israeli figures.
- 29 Mar 2024 - Corruption and lack of transparency are part of the main stumbling blocks to service delivery in the counties.
- 29 Mar 2024 - The nationwide industrial action by doctors entered its 15th day on Thursday with medics in Mombasa County taking to the streets in protest.
- 29 Mar 2024 - The government's message to farmers assuring them that fertilisers issued under the fertilizer subsidy program are good does not seem to have reassured farmers.
- 29 Mar 2024 - A resident of Kiambu County is in a fix after falling prey to a fraudulent land transaction resulting in the loss of Ksh.2.7 million.