4 May 2026 12:25 pm | Citizen TV 596 views Duration: 30:31 Wananchi wanaamua vipi ni nani watakayemchagua? Kampeni za uchaguzi wa 2027 tayari zinashika kasi Ni ipi muhimu zaidi chama cha kisiasa au utendakazi?