Ukuzaji wa mboga za kiasili zinavyowapa vijana ajira kabambe

  • | West TV
    148 views
    Kutokana na idadi kubwa ya vijana nchini kukabiliwa na ukosefu wa ajira, vijana sasa wameanza kuvutiwa na kilimo ajira ili kujikimu kimaisha, wanaoendeleza kilimo wakijivunia mapato wanayopata sasa wakitoa ombi kwa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali kuendelea kutoa mafunzo ili kuboresha kilimo