Skip to main content
Skip to main content

Umiliki wa Directline Assurance kuamuliwa kortini; Jaji asisitiza haraka, Macharia aeleza dhiki

  • | Citizen TV
    490 views
    Duration: 3:20
    Umiliki wa hisa na uongozi wa kampuni ya bima ya directline assurance ulitawala vikao vya mahakamani alhamisi, huku jaji wa mahakama ya juu Francis Gikonyo akisisitiza kuwa suala hilo linahitaji kuamuliwa haraka. Mwenyekiti wa kampuni ya Royal Credit, Dkt. S.K. Macharia, aliyefika mahakamani kwa kesi ya kukaidi mahakama, alieleza changamoto na misukosuko ambayo amepitia kama mwanzilishi wa kampuni hiyo, akisema kuwa hisa na uongozi wa kampuni hiyo umekuwa ukikabiliwa na ulaghai wa stakabadhi