19 Sep 2025 12:12 pm | Citizen TV 155 views Duration: 2:12 Viongozi wa Utamaduni wa jamii ya Iteso wamemtaka mbunge wa Teso Kaskazini Oku Kaunya kukoma kudunisha umoja na utangamano wa jamii hiyo kwa kuandaa hafla inayokusudia kumuidhinisha kama msemaji wa jamii pana ya Teso