Umoja wa taifa hahimizwa

  • | KBC Video
    29 views

    Jua lilipochomoza kwa upole juu ya maji ya Ziwa Victoria watu wa Homa Bay walilitazama kwa matumaini na matarajio makubwa. Tarehe mosi mwezi Juni haikuwa tu tarehe ya kawaida, bali ilikuwa wakati muhimu wa kumbukumbu na maana kubwa. Sherehe za mwaka huu za Madaraka ziliuacha umati uliokuwa umefurika katika uwanja wa Raila Odinga na msisimuko mkubwa kutokana na maonyesho ya kuvutia ya wanajeshi, vikundi maalum na wanamuziki. Kamche Menza anatupakulia uhondo kamili.m

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive