Umuhimu wa kupata usingizi wa kutosha

  • | K24 Video
    44 views

    Mwili wa mwanadamu huhitaji kupumzika baada ya kufanya kazi kwa muda fulani, na manufaa yake ni mengi kando na kutokomeza uchovu. Aidha kwa sababu moja au nyingine, watu wengi hawapati usingizi kwa muda tosha, na hilo kulingana na wataalam wa afya ni hatari kwa afya ya mwanadamu.