Umuhiumu wa kujifunza urembo darasani

  • | BBC Swahili
    258 views
    Katika Jamii nyingi za Afrika, masuala ya urembo kama wa kusuka yalikuwa mambo ambayo mtu anajifunza katika Jamii yake kama nyumbani au kwa jirani. Lakini sasa, kazi hii ya mikono inahitaji mafunzo ya darasani. Je , Elimu hii ina umuhimu wowote. Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa na Eagan Salla wamekuandalia taarifa hii #bbcswahili #tanzania #elimu