UN yasema haina ushahidi kuwa walinda amani walifyatua risasi kwa raia

  • | VOA Swahili
    4,886 views
    Umoja wa Mataifa waeleza hauna ushahidi walinzi wa amani walifyatua risasi kwa waandamanaji nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.